Judges 18:12

12 aWalipokuwa wakisafiri wakapiga kambi huko Kiriath-Yearimu katika Yuda. Hii ndiyo sababu sehemu ya magharibi ya Kiriath-Yearimu inaitwa Mahane-Dani
Mahane-Dani maana yake Kambi ya Dani.
mpaka leo.
Copyright information for SwhKC